Jumapili, 20 Januari 2019
18 Jan
.

.

 

 

 

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa, Meja Jenerali. Martin Busungu katikati mstari wa mbele kwenye picha ya pamoja na Wazabuni wanatoa huduma ya chakula kwenye Makambi na Vikosi vya JKT muda mfupi baada ya kikao cha pamoja kumalizika Makao Makuu ya Jeshi hilo.

18 Jan
.

.

 

 

 

Kaimu Mkurugenzi wa SUMAJKT, Kanali. Ahmed Abasi akifungua rasmi Semina ya Manunuzi na Ugavi kwa Maafisa, Askari na Watumishi wa Umma iliyofanyika katika Ukumbi wa Uhuru - Mwenge Matrekta. 

18 Jan
.

.

 

 

 

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa, Meja Jenerali Martin Busungu akipokea risala kutoka kwa mwakilishi wa wahitimu Kozi ya Uongozi Mdogo Pte Emmanuel Mtawa Kundi la 9-2018/2019 muda mfupi kabla kufungwa rasmi mafunzo hayo yaliyofanyika Chuo cha Uongozi JKT Kimbiji. Picha hapo juu. 

18 Des
.

.

 

Magari yanayotumika kusambaza Maji ya Uhuru Peak kutoka Kiwanda cha SUMAJKT.

18 Des
.

.

 

Mkuu wa JKT, Meja Jenerali Martin Busungu akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Magari ya kusambaza Maji ya "Uhuru Peak" yanayotengenezwa na kiwanda cha SUMAJKT.

12 Des
.

.

 

Waziri wa Madini, Mhe. Angela Kairuki akipokea maelezo mafupi kutoka kwa Mkuu wa JKT, Meja Jenerali Martin Busungu

Uadilifu

JKT huwajenga vijana kuwa waaminifu, wakweli na wakutegemewa na Taifa

Umoja na Mshikamano

Kuandaa vijana kuwa jamii yenye mshikamano na umoja wa kitaifa bila kujali itikadi zao za kitamaduni, kisiasa na kidini.

Kujitolea

Kuandaa vijana kuwa na moyo wa kujituma na kujitolea.

Uzalendo

Huwaandaa vijana wawe na moyo wa uzalendo, udugu na kuipenda nchi yao.

Nidhamu

Kuwafundisha vijana kuwa watiifu na wenye heshima.

Kupenda kazi

Kuwaanda vijana kuwa jamii yenye kutekeleza wajibu na moyo wa kupenda kufanya kazi