Jumatano, 23 Oktoba 2019
21 Okt
.

.

Mkuu wa JKT, Brigedia Jenerali Charles Mbuge akizindua Kikosi kipya cha JKT Kibiti Oktoba 19, 2019 kilichopo Mkoani Pwani.

14 Okt
.

.

Mkuu wa Mjeshi ya Ulinzi Nchini, Jenerali Venance Mabeyo akisalimiana na Mkuu wa JKT, Brigedia Jenerali Charles Mbuge alipowasili Mkoani Mtwara kuhudhuria Sherehe za kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru Mkoani Lindi.

14 Okt
.

.

Mkurugenzi wa Fedha JKT, Kanali Hassan Mabena akisisitiza jambo mara baada ya kuwasili kikazi kwenye Kambi ya JKT Luwa, Mkoani Sumbawanga.

09 Okt
.

.

Mkuu wa JKT, Brigedia Jenerali Charles Mbuge akikagua maendeleo ya ujenzi wa ukuta wa Ikulu Chamwino, Jijini Dodoma unaojengwa na SUMAJKT.

19 Sep
.

.

Mkuu wa JKT, Brigedia Jenerali Charles Mbuge akikagua gwaride la mapokezi alipowasili Makao Makuu ya JKT kwa mara ya kwanza tangu ateuliwe kuliongoza Jeshi hilo.

Uadilifu

JKT huwajenga vijana kuwa waaminifu, wakweli na wakutegemewa na Taifa

Umoja na Mshikamano

Kuandaa vijana kuwa jamii yenye mshikamano na umoja wa kitaifa bila kujali itikadi zao za kitamaduni, kisiasa na kidini.

Kujitolea

Kuandaa vijana kuwa na moyo wa kujituma na kujitolea.

Uzalendo

Huwaandaa vijana wawe na moyo wa uzalendo, udugu na kuipenda nchi yao.

Nidhamu

Kuwafundisha vijana kuwa watiifu na wenye heshima.

Kupenda kazi

Kuwaanda vijana kuwa jamii yenye kutekeleza wajibu na moyo wa kupenda kufanya kazi