Jumatano, 18 Mei 2022
×

Onyo

JUser: :_load: Haiwezi kupakia mtumiaji aliye na kitambulisho: 205

Ziara ya Mkuu wa tawi la Utawala JKT,Kanali Charles Mbuge katika eneo la Chamwino Mkoani Dodoma kujionea maendeleo ya ujenzi wa ofisi za MMJKT.kama picha inavyoonekana hapo chini.

 

Ziara ya Mkuu wa tawi la Utawala JKT,Kanali Charles Mbuge katika eneo la Chamwino Mkoani Dodoma kujionea maendeleo ya ujenzi wa ofisi za MMJKT

.

Katibu mkuu Wizara ya Ulinzi na JKT, DKT Florance Turuka, akisaini kitabu cha wageni katika Kikosi cha Itende Mbeya, kwenye kuaga miili ya askari na vijana waliofariki kwa ajali mkoani humo.

.

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa, Meja Jenerali Martin Busungu, akitoa salamu za mwisho kwa askari na vijana wa JKT waliofariki kwa ajali mkoani Mbeya.

10 Des
Ziara ya Mkuu wa JKT-Bulombora

Ziara ya Mkuu wa JKT-Bulombora

Mkuu wa JKT, Meja Jenerali Raphael Muhuga, akiwasalimia vijana wa JKT waliopata ajali ya gari iliyotokea Oktoba Mosi mwaka huu majira ya saa 10:30 jioni katika Kijiji cha Kasaka eneo la mzani, wakisafiri kuelekekea mjini Kigoma kikazi, baada ya lori aina ya IVECO namba 5717 JW 09, mali ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Kambi ya JKT Bulombora, kupasuka magurudumu yake ya nyuma na kupinduka.

10 Des
Ziara ya Mkuu wa JKT

Ziara ya Mkuu wa JKT

Mkuu wa JKT, Meja Jenerali Raphael Muhuga, akiwa katika picha ya pamoja na makamanda wa Kambi ya JKT Bulombora alipofanya ziara kwenye kambi hiyo.

 

18 Nov
Uzinduzi wa Magari Kampuni ya Ulinzi SUMAGUARD

Uzinduzi wa Magari Kampuni ya Ulinzi SUMAGUARD

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa ambaye ni Afisa Mtendaji Mkuu (CEO)  SUMAJKT  akizindua mioja ya magari yaliyonunuliwa na Kampuni ya ulinzi SUMAGUARD , Wanao shuhudia tukio hilo ni Mkuregenzi Mtendaji SUMAJKT Kanali Andrew Samillan pamoja na Mkurugenzi wa Kampuni ya Ulinzi ya SUMAGUARD LTD Capt Mwaijande.

18 Nov
Mkuu wa Utawala na Mafunzo Brigedia Jenerali Jacob Kingu akikagua mashamba ya Mahindi

Mkuu wa Utawala na Mafunzo Brigedia Jenerali Jacob Kingu akikagua mashamba ya Mahindi

Mkuu wa Utawala na Mafunzo Brigedia Jenerali Jacob Kingu alipokuwa akikagua mashamba ya Mahindi yanayolimwa na vikosi vya JKT alipokuwa ziarani kwenye vikosi vya JKT mkoani Tanga hivi karibuni

18 Nov
Uzinduzi wa Magari Kampuni ya Ulinzi SUMAGUARD LTD

Uzinduzi wa Magari Kampuni ya Ulinzi SUMAGUARD LTD

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa ambaye ni Afisa Mtendaji Mkuu (CEO)  SUMAJKT  akizindua mioja ya magari yaliyonunuliwa na Kampuni ya ulinzi SUMAGUARD , Wanao shuhudia tukio hilo ni Mkuregenzi Mtendaji SUMAJKT Kanali Andrew Samillan pamoja na Mkurugenzi wa Kampuni ya Ulinzi ya SUMAGUARD LTD Capt Mwaijande.

18 Nov
Mkuu wa Utawala na Mafunzo akikagua Mabweni ya Vijana -Tanga

Mkuu wa Utawala na Mafunzo akikagua Mabweni ya Vijana -Tanga

Mkuu waUtawala na Mafunzo Brigedia Jenerali Jacob Kingu akikagua moja ya mabweni ya kulala vijana wa JKT alipokuwa ziarani katika vikosi vya JKT mkoani Tanga

18 Nov
SUMAGUARD LTD

SUMAGUARD LTD

Gari ambalo limenunuliwa na Kampuni ya Ulinzi ya SUMAGUARD katika kujiimarisha kiutendaji kazi.

18 Nov
Mlalakuwa JKT

Mlalakuwa JKT

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa Meja Jenerali Raphael Muhuga akifurahi jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa SUMAJKT Kanali Andrew Samillan baada ya kukata utepe kuzindua moja ya gari lililonunuliwa na Kampuni ya Ulinzi ya SUMAGUARD LTD tukio lililofanyika Makao Makuu ya JKT Mlalakuwa Dar es Salaam.

Uadilifu

JKT huwajenga vijana kuwa waaminifu, wakweli na wakutegemewa na Taifa

Umoja na Mshikamano

Kuandaa vijana kuwa jamii yenye mshikamano na umoja wa kitaifa bila kujali itikadi zao za kitamaduni, kisiasa na kidini.

Kujitolea

Kuandaa vijana kuwa na moyo wa kujituma na kujitolea.

Uzalendo

Huwaandaa vijana wawe na moyo wa uzalendo, udugu na kuipenda nchi yao.

Nidhamu

Kuwafundisha vijana kuwa watiifu na wenye heshima.

Kupenda kazi

Kuwaanda vijana kuwa jamii yenye kutekeleza wajibu na moyo wa kupenda kufanya kazi