Jumapili, 17 Oktoba 2021

. Featured

Mku wa JKT aliyemaliza muda wake Meja Jenerali Charles Mbuge (Kushoto) akimkabidhi nyaraka za ofisi kwa Mkuu wa JKT mpya Brigedia Jenerali Rajabu Mabele baada ya Meja Jenerali Mbuge kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera.

Uadilifu

JKT huwajenga vijana kuwa waaminifu, wakweli na wakutegemewa na Taifa

Umoja na Mshikamano

Kuandaa vijana kuwa jamii yenye mshikamano na umoja wa kitaifa bila kujali itikadi zao za kitamaduni, kisiasa na kidini.

Kujitolea

Kuandaa vijana kuwa na moyo wa kujituma na kujitolea.

Uzalendo

Huwaandaa vijana wawe na moyo wa uzalendo, udugu na kuipenda nchi yao.

Nidhamu

Kuwafundisha vijana kuwa watiifu na wenye heshima.

Kupenda kazi

Kuwaanda vijana kuwa jamii yenye kutekeleza wajibu na moyo wa kupenda kufanya kazi