Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa Majaliwa (mbunge) akikagua Ujenzi wa ofisi za Ikulu Chamwino Dodoma zinazojengwa na (Mkandarasi SUMAJKT-CCL) kushoto ni Mkuu wa JKT Meja Jenerali Rajabu Mabele.

JKT huwajenga vijana kuwa waaminifu, wakweli na wakutegemewa na Taifa
Kuandaa vijana kuwa jamii yenye mshikamano na umoja wa kitaifa bila kujali itikadi zao za kitamaduni, kisiasa na kidini.
Kuandaa vijana kuwa na moyo wa kujituma na kujitolea.
Huwaandaa vijana wawe na moyo wa uzalendo, udugu na kuipenda nchi yao.
Kuwafundisha vijana kuwa watiifu na wenye heshima.
Kuwaanda vijana kuwa jamii yenye kutekeleza wajibu na moyo wa kupenda kufanya kazi