Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa Majaliwa Mbunge (Katikati mbele) kwenye picha ya pamoja na vijana wa JKT wanaoshiriki ujenzi wa ofisi za Ikulu ya Chamwino Dodoma inayojengwa na JWTZ

JKT huwajenga vijana kuwa waaminifu, wakweli na wakutegemewa na Taifa
Kuandaa vijana kuwa jamii yenye mshikamano na umoja wa kitaifa bila kujali itikadi zao za kitamaduni, kisiasa na kidini.
Kuandaa vijana kuwa na moyo wa kujituma na kujitolea.
Huwaandaa vijana wawe na moyo wa uzalendo, udugu na kuipenda nchi yao.
Kuwafundisha vijana kuwa watiifu na wenye heshima.
Kuwaanda vijana kuwa jamii yenye kutekeleza wajibu na moyo wa kupenda kufanya kazi