Jumamosi, 23 Juni 2018

MKUU WA JKU KUJITAMBULISHA KWA MKUU WA JKT

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Martin Busungu (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) Kanali Ali Mtumweni Hamad, alipomtembelea ofisini kwake mei 22 mwaka huu.

 

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Martin Busungu (wa nne toka kulia), akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa JKU, Kanali Ali Hamad (katikati), pamoja na baadhi ya Wakurugenzi wa JKT.

Uadilifu

JKT huwajenga vijana kuwa waaminifu, wakweli na wakutegemewa na Taifa

Umoja na Mshikamano

Kuandaa vijana kuwa jamii yenye mshikamano na umoja wa kitaifa bila kujali itikadi zao za kitamaduni, kisiasa na kidini.

Kujitolea

Kuandaa vijana kuwa na moyo wa kujituma na kujitolea.

Uzalendo

Huwaandaa vijana wawe na moyo wa uzalendo, udugu na kuipenda nchi yao.

Nidhamu

Kuwafundisha vijana kuwa watiifu na wenye heshima.

Kupenda kazi

Kuwaanda vijana kuwa jamii yenye kutekeleza wajibu na moyo wa kupenda kufanya kazi