Jumapili, 15 Septemba 2019

Mkurugenzi Mtendaji SUMA JKT, Kanali Rajabu Mabele akiendelea na ziara yake amekagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa jengo la Maabara ya Kisasa ya Sayansi ya Chuo Kikuu cha Sokoine (SUA) unaojengwa na Kampuni ya Ujenzi ya SUMA JKT. Picha hapo chini.

Uadilifu

JKT huwajenga vijana kuwa waaminifu, wakweli na wakutegemewa na Taifa

Umoja na Mshikamano

Kuandaa vijana kuwa jamii yenye mshikamano na umoja wa kitaifa bila kujali itikadi zao za kitamaduni, kisiasa na kidini.

Kujitolea

Kuandaa vijana kuwa na moyo wa kujituma na kujitolea.

Uzalendo

Huwaandaa vijana wawe na moyo wa uzalendo, udugu na kuipenda nchi yao.

Nidhamu

Kuwafundisha vijana kuwa watiifu na wenye heshima.

Kupenda kazi

Kuwaanda vijana kuwa jamii yenye kutekeleza wajibu na moyo wa kupenda kufanya kazi