Jumamosi, 15 Agosti 2020

Waziri wa Ulinzi na JKT Mhe.Dkt Hussein Mwinyi ameanza awamu ya pili ya kutembelea na kukagua Miradi Shughuli mbalimbali za Uzalishaji mali zinazofanywa na SUMA JKT katika Kanda ya Ujenzi ya kat Dodoma. Picha hapo chini.

Uadilifu

JKT huwajenga vijana kuwa waaminifu, wakweli na wakutegemewa na Taifa

Umoja na Mshikamano

Kuandaa vijana kuwa jamii yenye mshikamano na umoja wa kitaifa bila kujali itikadi zao za kitamaduni, kisiasa na kidini.

Kujitolea

Kuandaa vijana kuwa na moyo wa kujituma na kujitolea.

Uzalendo

Huwaandaa vijana wawe na moyo wa uzalendo, udugu na kuipenda nchi yao.

Nidhamu

Kuwafundisha vijana kuwa watiifu na wenye heshima.

Kupenda kazi

Kuwaanda vijana kuwa jamii yenye kutekeleza wajibu na moyo wa kupenda kufanya kazi