Jumapili, 15 Septemba 2019

Waziri wa Ulinzi na JKT Mhe.Dkt Hussein Mwinyi anaendelea na ziara yake ya kikazi kutembelea na kukagua miradi mbalimbali ya SUMA JKT iliyopo katika mikoa ya Dodoma na Singida ametembelea ujenzi wa mabweni ya Shule ya Sekondari Mondo. Picha chini

Uadilifu

JKT huwajenga vijana kuwa waaminifu, wakweli na wakutegemewa na Taifa

Umoja na Mshikamano

Kuandaa vijana kuwa jamii yenye mshikamano na umoja wa kitaifa bila kujali itikadi zao za kitamaduni, kisiasa na kidini.

Kujitolea

Kuandaa vijana kuwa na moyo wa kujituma na kujitolea.

Uzalendo

Huwaandaa vijana wawe na moyo wa uzalendo, udugu na kuipenda nchi yao.

Nidhamu

Kuwafundisha vijana kuwa watiifu na wenye heshima.

Kupenda kazi

Kuwaanda vijana kuwa jamii yenye kutekeleza wajibu na moyo wa kupenda kufanya kazi