Jumamosi, 04 Julai 2020

Sherehe ya ufungaji wa Michezo ya Majeshi ya Baraza la Michezo ya Vyombo vya Ulinzi na Usalama yaliyofanyika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam kuanzia Februari 23 hadi Machi 8, 2019-

 

Uadilifu

JKT huwajenga vijana kuwa waaminifu, wakweli na wakutegemewa na Taifa

Umoja na Mshikamano

Kuandaa vijana kuwa jamii yenye mshikamano na umoja wa kitaifa bila kujali itikadi zao za kitamaduni, kisiasa na kidini.

Kujitolea

Kuandaa vijana kuwa na moyo wa kujituma na kujitolea.

Uzalendo

Huwaandaa vijana wawe na moyo wa uzalendo, udugu na kuipenda nchi yao.

Nidhamu

Kuwafundisha vijana kuwa watiifu na wenye heshima.

Kupenda kazi

Kuwaanda vijana kuwa jamii yenye kutekeleza wajibu na moyo wa kupenda kufanya kazi