Jumatatu, 25 Machi 2019

. Featured

Mchezaji Bora wa Mchezo wa Kikapu toka JKT, Praiveti Baraka Sadick (aliyebebwa) mara baada ya Timu yake JKT kuibuka Mabingwa dhidi ya Timu ya Ngome, mchezo huo ulifanyika kwenye Uwanja wa ndani wa Taifa Jijini Dar es Salaam.

Uadilifu

JKT huwajenga vijana kuwa waaminifu, wakweli na wakutegemewa na Taifa

Umoja na Mshikamano

Kuandaa vijana kuwa jamii yenye mshikamano na umoja wa kitaifa bila kujali itikadi zao za kitamaduni, kisiasa na kidini.

Kujitolea

Kuandaa vijana kuwa na moyo wa kujituma na kujitolea.

Uzalendo

Huwaandaa vijana wawe na moyo wa uzalendo, udugu na kuipenda nchi yao.

Nidhamu

Kuwafundisha vijana kuwa watiifu na wenye heshima.

Kupenda kazi

Kuwaanda vijana kuwa jamii yenye kutekeleza wajibu na moyo wa kupenda kufanya kazi