Jumamosi, 15 Agosti 2020

. Featured

Mkuu wa JKT, Brigedia Jenerali Charles Mbuge (Mwenye buti za kijani), akikagua shamba la mahindi la kimkakati lenye hekari 1200 lililopo JKT Milundikwa, Mkoani Rukwa. Kushoto kwake ni Mweneyeki wa Kilimo Mkakati JKT, Kanali Hassan Mabena

Uadilifu

JKT huwajenga vijana kuwa waaminifu, wakweli na wakutegemewa na Taifa

Umoja na Mshikamano

Kuandaa vijana kuwa jamii yenye mshikamano na umoja wa kitaifa bila kujali itikadi zao za kitamaduni, kisiasa na kidini.

Kujitolea

Kuandaa vijana kuwa na moyo wa kujituma na kujitolea.

Uzalendo

Huwaandaa vijana wawe na moyo wa uzalendo, udugu na kuipenda nchi yao.

Nidhamu

Kuwafundisha vijana kuwa watiifu na wenye heshima.

Kupenda kazi

Kuwaanda vijana kuwa jamii yenye kutekeleza wajibu na moyo wa kupenda kufanya kazi