Tanzania emblem
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

JESHI LA KUJENGA TAIFA -JKT

Ziara ya Waziri Mkuu

15 May, 2022
Ziara ya Waziri Mkuu

Ziara ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa Majaliwa (Mbunge) kwenye ujenzi wa ofisi za Ikulu Chamwino Jijini Dodoma zinazojengwa na Mkandarasi SUMAJKT kwa kuwashirikisha Maafisa, Askari wa JWTZ pamoja na vijana wa JKT