Tanzania emblem
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

JESHI LA KUJENGA TAIFA -JKT

WITO WA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA MWAKA 2022 AWAMU YA PILI

22 Jun, 2022
WITO WA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA MWAKA 2022 AWAMU YA PILI

Mkuu wa Tawi la Utawala JKT Brigedia Jenerali Hassan Mabena akitoa Taarifa kwa Umma Wito wa Mafunzo ya JKT kwa Mujibu wa sheria awamu ya pili kwa Vijana waliohitimu elimu ya kidato cha sita kwa mwaka 2022, Makao Makuu ya JKT Chamwino, Dodoma.