Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Philip Mpango akikabidhi Tuzo ya Ushindi wa Mzalishaji Bora wa Bidhaa nchini iliyotolewa kwa JKT na Kupokelewa na Mkurugenzi Mtendaji SUMAJK...
Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi na JKT, Dkt. Fraji Mnyepe (katikati), Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI (Afya), Dkt Grace Magembe (wa tatu kushoto mbele) pichani, baada ya kikao cha JWTZ na TAMISEMI kuhusu mafu...
Mkuu wa JKT Meja Jenerali Rajabu Mabele akikagua gwaride la Vijana wa kujitolea operesheni Samia Suluhu baada ya kuhitimu mafunzo ya awali ya Kijeshi katika kambi ya JKT Milundikwa Mkoani Rukwa.
Waziri wa Ulinzi na JKT Mhe. Dkt. Stergomena Tax akikagua kikundi cha mapokezi alipofanya ziara Makao Makuu ya JKT Chamwino Mkoani Dodoma
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa Majaliwa kwenye picha ya pamoja na vijana wa JKT wanaoshiriki ujenzi wa ofisi za Ikulu ya Chamwino, Mkoani Dodoma inayojengwa na JW...
Moja ya vyombo vilivyoundwa na Serikali ya Tanganyika mara tu baada ya Taifa hili kupata uhuru ni Jeshi la Kujenga Taifa lililoasisiwa tarehe 10 Jul 1... Soma zaidi
Dira
Kupitia mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa, hatimaye Tanzania iwe ni jamii yenye nidhamu, umoja, uzalendo , undugu, ukakamavu na kupenda kazi.
Dhima
Kuwalea vijana wa Tanzania, ili kuwajengea nidhamu, uzalendo, ukakamavu na kuwafundisha ujuzi hatimaye kuchangia katika ulinzi wa Taifa na maendeleo ya kiuchumi